Zinga La Asubuhi

TIP: Right-click and select "Save link as.." to download video

Hayawi hayawi huwa. Je umepata kuskia habari hii katika Ujumbe Maalum? Habari ya kusikitisha kweli! Kisanga cha jamaa mmoja aliyemtapeli mpenzi wake kuwa ameenda nchi ya ngambo kufanya kazi. Jamaa huyu alimwacha mpenziwe na watoto wawili. Ni vyema kwa mwanamme kumuacha mpenzi wake kwa sababu ya kudai vitu kila wakati? Na ikiwa mtu amejaliwa na watoto kando ya ndoa, ni lazima amuoe huyu mpenzi wake? Changia mjadala ukiwa pamoja na Bonnie Musambi KBC akimuunga Cynthia Anyango!

Franco's Derrick 11 months ago

HUYO MWANAUME AKO WAPI

Isaiah Nkubitu 11 months ago

@Kiutine baseline, kumtoroka mpenzio sio suluhu,ni heri kukaa na kuzungumza kama ni kazi nzuri umepata hata yeye atafurahia

Ekerambauti Samweli Nyangeri Nogori 11 months ago

Kutoka gachie Kinyonzi Niko locked na Ivony Kerubo,,Risphar gwaro,, Divinah m ombati,, engenangeni ya grace.

Malaika Mfalme Amenya Basweti 11 months ago

Sio poa kweli,

Werû Paul 11 months ago

Niko kwa mtambo sana

Njagi Michelino 11 months ago

@Meru nko locked ka kawa, siyo poa

Ruth Mwangi Wa Igikiro 11 months ago

Pamoja

Ruth Mwangi Wa Igikiro 11 months ago

Sio poa

Benjamin Kamara 11 months ago

Sio poa

Maggy Kiruri 11 months ago

Inn kama kawa

Duke Atancha Areba Deh 11 months ago

Ndaaaaaani.

Jimi Beba Kuma Mweiga 11 months ago

POA SANA

Samuel Muchiri 11 months ago

Kagere Mahiga Othaya Locked